Pakua Photoscape ya Windows
- Inaingiana na mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako
- Pakua Bila malipo
- Katika Kiswahili
- Toleo:
- 3.7
- Upakuaji wa haraka bila malipo
- Inapatikana kila wakati
- Imethibitishwa kuwa haina virusi
Katika Softonic tunachanganua faili zote zilizo kwenye mfumo wetu ili kubaini na kuzuia hatari yoyote inayoweza kuathiri kifaa chako. Timu yetu hukagua faili mpya pindi zinapopakiwa na hukagua faili mara kwa mara ili kuhakikisha au kusasisha hali ya faili hizo. Mchakato huu wa kina unaturuhusu kubainisha hali ya faili yoyote inayoweza kupakuliwa kama ifuatavyo:
Safi
Kuna uwezekano mkubwa zaidi kuwa programu hii ni safi.
Hali hii ina maana gani?
Tumechanganua faili na URL zinazohusiana na programu hii katika zaidi ya huduma 50 za kingavirusi ambazo ni maarufu ulimwenguni; hamna uwezekano wowote wa hatari uliotambuliwa.
Onyo
Kuna uwezekano mkubwa kuwa programu hii ni hasidi au huenda ina kifurushi cha programu kisichotakikana.
Kwa nini programu hii bado inapatikana?
Kutokana na uchanganuzi uliofanywa na mfumo wetu, tumebaini kuwa huenda matatizo haya yaliyoripotiwa si ya kweli.
Ni nini maana ya 'tatizo lisilo la kweli'?
Ina maana kuwa programu imeripotiwa kimakosa kuwa hasidi kutokana na algoriti au saini za utambuzi ambazo ni za jumla, zilizotumika katika programu ya kingavirusi.
Imezuiwa
Kuna uwezekano mkubwa kuwa programu hii ni hasidi au ina kifurushi cha programu kisichotakikana.
Kwa nini programu hii haipatikani tena katika Katalogi yetu?
Kutokana na uchanganuzi uliofanywa na mfumo wetu, tumebaini kuwa huenda matatizo haya yaliyoripotiwa yakawa ya kweli.
Tungependa kuangazia kuwa wakati mwingine, huenda tukakosa kubaini programu zinazoweza kuwa hasidi. Ili kuendelea kukupa katalogi ambayo haina programu hasidi, timu yetu imejumuisha kipengele cha Ripoti Programu katika kila ukurasa wa katalogi ambao unaturejeshea maoni yako.
Ripoti matatizo yoyote mahususi ambayo unaweza kuyapata na Softonic itayashughulikia haraka iwezekanavyo.




